Dr Cheni amesema kuwa bado hali yake sio nzuri kutokana na kuishiwa damu na mwili kupoteza nguvu. “Bado nipo hospitali ya Buruhani naumwa hili gonjwa jipya,sijui linaitwa Dengue,” amesema. “Bado hali yangu sio nzuri kabisa,yaani naumwa,napungukiwa damu,mwili unauma,kwahiyo yani bado ninaumwa,hii homa ilinianzia wiki iliyopita sema nilikuwa bado hawajaigundua ila jana ndio wameingundua,” ameongeza. Dr Cheni amesema kuwa anawaomba Watanzania wamuombee kwani bado hali yake sio mzuri. -
RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS. FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.

Thursday, 8 May 2014
MSANII Dr,CHENI HOI KITANDANI HOSPITALINI.
Dr Cheni amesema kuwa bado hali yake sio nzuri kutokana na kuishiwa damu na mwili kupoteza nguvu. “Bado nipo hospitali ya Buruhani naumwa hili gonjwa jipya,sijui linaitwa Dengue,” amesema. “Bado hali yangu sio nzuri kabisa,yaani naumwa,napungukiwa damu,mwili unauma,kwahiyo yani bado ninaumwa,hii homa ilinianzia wiki iliyopita sema nilikuwa bado hawajaigundua ila jana ndio wameingundua,” ameongeza. Dr Cheni amesema kuwa anawaomba Watanzania wamuombee kwani bado hali yake sio mzuri. -
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment