![]() |
| Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jana jioni . |
![]() |
| Waombolezaji wakiwa msibani tayari kuaga mwili. Wa tatu kutoka kulia waliokaa mbele ni mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi, Dar |
![]() |
| Watangazaji Sauda Mwilima (kulia) na Zamaradi Mketema (kati) wakiwa msibani hapo. Kushoto ni msanii Shamsa Ford. |
![]() |
| William Mtitu (katikati) akiwa na waombolezaji. |
![]() |
| Ibada ya kumuombea marehemu ikiendelea. |
![]() |
| Mwili wa marehemu Adam Kuambiana ukitolewa nje ya nyumba kwa ajili ya kuagwa. |
![]() |
| Baadhi ya wasanii baada ya kuwasili nyumbani kwa marehenu Bunju B. |
![]() |
| Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani Bunju B. |
![]() |
![]() |
| Mwili wa marehemu ukishushwa kutoka kwenye gari Bunju B. |










No comments:
Post a Comment