Thursday, 8 May 2014

NGOMA MPYA YA MSANII VICTORIA KIMANI-KENYA ALIYOWASHIRIKISHA DIAMOND & OMMY DIMPOZ KUACHIWA KARIBUNI.

Ile singo iliyosababisha mtafaruku kwa wasanii wawili wapenzi wanaotawala vichwa vya habari vya media tofauti tofauti bongo kila kukicha Wema & Diamond,kuishia kufanya fujo studio kwa hisia mbaya za kimapenzi iko tayari kwa kuachiwa rasmi.
Huu ni wimbo wa Msanii Victoria Kimani toka Kenya akishirikiana na wasanii wanaofanya poa sana katika anga la Bongo Flava Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz ngoma hii inatarajia kuachiwa rasmi14 may mwaka huu.
Chocolate City Kenya’s fast rising singing sensation Victoria Kimani has been keeping
fans up to date with her musical journey through her new reality web series ‘The Rise
of Queen Victoria’. More recently, she is Ready to unveil her new single ‘Prokoto’,
which features Diamond and Ommy Dimpoz, two major acts in Tanzania in a Smash
dance-hit.
Prokoto’ (a slang meaning swag) follows her two previous successful
hits ‘Whoa’ and ‘M’Toto’, and is a heavy percussion based tune, which sees Victoria
Kimani, Diamond and Ommy Dimpoz blend their native Swahili language with English
to produce a sound that will surely thrill audiences.
Victoria Kimani’s ‘Prokoto’ resembles that of a traditional African sound, and
captivates the listener from the opening beat; there will be lots of dancing and, gyrating.
 Anticipate.
Listern SNIPPET below,

No comments: