Thursday, 8 May 2014

OLE MEDEYE AMCHANA LEMA, ADAI AMEKULIA GHETO

Mbunge wa Arumeru Magharibi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ole Joseph Medeye.
MBUNGE wa Arumeru Magharibi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ole Joseph Medeye, amemchana Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema bungeni kuwa amekulia gheto na kupata huruma ya wanannchi wa Arusha waliomchagua kuwa mbunge. 
Medeye ameongea hayo wakati wa Majadiliano ya Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Tamisemi.
Medeye ameahidi kugombea Jimbo la Arusha Mjini Uchaguzi Mkuu ujao wa 2015 ili achukue nafasi ya Lema!

1 comment:

Unknown said...

Medeye huwezi kucheza game na CDM.Ww choka mbaya.