Thursday, 8 May 2014

SAUTI SOL{KENYA}WAKISANUA KWA RAIS KENYATA JUU YA DENI LA MALIPO YA SHOW YAO KWA SERIKALI YA KENYA.

Wasanii wanaounda kundi la Sauti Sol wametuma Ujumbe kupitia akaunti yao ya twitter kwa Rais wa Kenya Mh Uhuru Kenyatta wakikumbushia kulipwa malipo yao ya show waliyojfanya kwenye Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Kenya { Kenya @50 },Sauti Sol katika Twitts zao wamefunguka kama ifuatavyo,. 

No comments: