PICHA-MSANII LINAH NDANI YA KILI MUSIC AWARD'S NA MCHUMBA WAKE.
Msanii Linah Sanga ni mmoja kati ya wasanii wachache waliokuja kwenye KTMA Na wapenzi wao,Picha kadhaa zikiwaonyesha Linah akiwa amepozi na mchumba wake Nagari Kombo ambaye kwa sasa wako
tayari kuonekana hadharani tofauti na mapema ambapo walijaribu kuishi
kwa kuficha mahusiano yao. wawili hawa Wamekuwa wakiandikwa na blogs tofauti kuwa
wanakaribia kufunga ndoa na kwamba Linnah anategemea kupata mtoto
wakati wowote taarifa ambazo zilikanushwa vikali na Linnah kwenye Interview nyingi tofauti alizofanya.
|
Linah,Nagari & Mobenga. |
No comments:
Post a Comment