RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS.
FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Thursday, 8 May 2014
RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA CHINA JIJINI ABUJA.{NIGERIA}
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na Waziri Mkuu wa China Mhe.
Li Keqiang kwa mazungumzo pembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara
la Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014
No comments:
Post a Comment