Thursday, 5 June 2014

BONGE LA CHATU LATOKEA NYUMBANI KWA MTU ARUSHA,MWENYEWE AOMBA ASIUAWE NI MWANAE WA KWANZA

Nyumban kwa mtu mmoja jijini Arusha ametokea chatu akiwa amefungwa kitambaa cheupe kikiwa kimeandikwa Maandishi yaliyo katika Lugha ya quran,Mara baada ya kuingia ndani ya geti wafanyakazi wakakimbia na kufungua geti ghafla.Wakati tukio likichukua nafasi nyumbani hapo mwenye nyumba akapigiwa simu na kuelezwa kilichotokea lakini chakushangaza Mama huyo akasema asiuwawe,kwani ni mtoto wake wa kwanza.Tukio limetokea Arusha sasa hivi.. Taarifa zinasisitiza kuwa Chatu likitokea chumbani kwa huyo mama,baada ya kutawala mazingira ya nyumbani hapo,ndipo ghafla likaenda kwenye maua huku likiwa halijamdhuru mtu,Wananchi wamechukua jukumu la kuliua japo,kauli ya mwenye nyumba ikizuia kuliua,kwa madai ya kuwa ni mtoto wake,Mwenye nyumba anaitwa Magesa
Nyumba alimoibuka Chatu huyo.

Kama kuna mijitu imepinda, basi mingine imenyongorota kabisa mcheki jamaa akiwa amemshika chatu huyo baada ya kuuliwa.

Chatu akiwa ameuliwa.

kitambaa chenye maandishi ya lugha ya Quran alichofungwa Chatu huyo.

No comments: