Thursday, 5 June 2014

DIAMOND, WEMA NA AUNT EZEKIEL SAFARINI SOUTH AFRIKA KWENYE TUZO ZA MTV MUSIC AWARDS

Kupitia Acc yake ya Instagram  Diamond ameandika:

"Asante sana @fastjetofficial kwa kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.. hakika nyinyi ni Mfano Bora.. Kama Hauna Taarifa bado, Kampuni ya Fast jest sasa imeanzisha huduma mpya ya kutoka Tanzania hadi South Africa... kwa maelezo zaidi follow Account yao Hii @fastjetofficial @fastjetofficial"
Diamond ameelekea nchini South Africa tayari kwa hitimisho la Tuzo za MTV,katika safari yake hiyo.Diamond ameambatana na mchumba wake WEMA SEPETU,AUNT EZEKIEL pamoja timu nzima ya WASAFI,
pichani Aunt Ezekiel,Wema & Diamond Platnumz.
 

No comments: