Monday, 2 June 2014

BRAND NEW SONG BY GELLY WA RHYME-Elewa.


Kutoka Studio za AM Rec, zinadondosha Dundo jipya la Gelly, Track inaitwa ELEWA biti imetengenezwa na mikono ya Bob Manecky. Tumia Dakika 3 na sekunde 12 kuisikiliza Track hii pia kama umeipenda unaweza kudownload na kuwa unasikiliza kupitia simu yako, ila pia kama unalolote kuhusu kazi hii unaweza kuacha maoni yako hapo chini. -

No comments: