Star wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz ambae kwa sasa anayo
heshima kubwa kwenye Industry ya muziki, kutokana na muziki wake pamoja
na kuingia kwenye tuzo za MTV MAMA na BET leo alikuwa kwenye kipindi
cha LEO TENA cha Clouds Fm ameuongelea muziki wa Taarabu ambao pia
anaweza kuuimba na alishawai kuomba nafasi Jahazi Morden Taarab ya
kuimba kabla hajawa
Diamond Platnumz....
Hii ni video clip inayomuonesha Diamond akiimba wimbo wake mpya wa taarabu....
Diamond Platnumz....
Hii ni video clip inayomuonesha Diamond akiimba wimbo wake mpya wa taarabu....

No comments:
Post a Comment