KUMEKUWA NA TAARIFA ZA KUTOKEA KWA HITILAFU KATIKA MITAMBO YA GRIDI KUU YA TAIFA,HITILAFU ZILIZOSABABISHA KATIKO LA UMEME KWA TAKRIBAN SEHEMU KUBWA YA NCHI YA{TZ},HUKU TAARIFA TOFAUTI TOFAUTIO ZIKIPELEKEA CHANZO CHA TATIZO HILO,
HIZI HAPA NI BAADHI YA TAARIFA TOFAUTI ZIKIRIPOTI JUU TATIZO HILO KWA WANAHABARI WALIOKO MIKOA TOFAUTI TOFAUTI YA TANZANIA FUATILIA,
-
Re: Breaking news!!! Hujuma bungeni,ukawa wawahonga mafundi mitambo,wazima umeme
*Nipo Tanga,mji mzima umeme umekatwa saa moja na nusu
Re: Hapo ulipo kuna umeme?
*Mm niko zenji umeme hakuna
Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...
*Hata huku Kimara umekatika muda mfupi

By
WILLAFRICA
Hii ni fedheha na ni aibu ya karne kwa hii serikali na idara ya mambo ya Nishati ya Umeme.
Kitendo cha kuzimika umeme ni kitendo kisicho faa wala kukubalika kitaifa na kimataifa.
Nategemea yafuatayo yafanyike:
- Waziri wa nishati bwana sospeter muhongo na madini ajiuzulu kwani
amelifedhehesha na kuliaibisha taifa kwa wasimamizi wake kutokuwa makini
katika utekelezaji wa majukumu yao.
- Mkurugenzi mkuu wa TANESCO naye awajibike ili kuepusha hali hii iliyojitokeza katikati ya bajeti ya Taifa.
- Kiundwe kitengo maalumu cha usimamizi wa masuala ya umeme kwenye kumbi
na majengo makubwa na maalum ya kiserikali nchini ili waweze
kuhakikisha aibu kama hii haijirudii tena.
Ni ushauri tu, siyo amri.
Re: Hapo ulipo kuna umeme?
*Nimepewa updates Iringa na Arusha ni total Blackout
Re: Hapo ulipo kuna umeme?
*nipo Moro hakuna umeme je wengine?
Re: Hapo ulipo kuna umeme?

By
luisajr
*mm nipo dsm umeme hamna
Breaking News: hakuna umeme nchi nzima.
*Wanajamvi umeme huku Arusha hakuna muda huu, nikapata ujumbe
Mwanza, Tanga, Morogoro, Dodoma kua hakuna umeme. Wenye kujua nini
tatizo watuambie
Source JAMII FORUM.
No comments:
Post a Comment