Friday, 6 June 2014

MSANII H BABA AALAZWA MUHIMBIL MEDICAL HOSPITAL AKIUGUA UGONJWA WA DENGUE

Msanii H Baba amekumbwa na tatizo la ugonjwa wa homa ya Dengue hali iliyompelekea kulazwa baada ya kukimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.
Flora Mvungi ambaye ni mke wa msanii huyo amesema kuwa mume wake alianza kujisikia dalili za kuugua tangu Jumatano alipokuwa anajiandaa kwenda Leader's Club kuuaga mwili wa marehemu George Tyson Otieno aliyefariki June 30 kwa ajali ya gari.


TAARIFA TOKA FLORA MVUNGI MKE WA  {H BABA} :
Madaktari wamegundua ni Dengue, >>>Muhimbili now saa nane hii, usiku hali ilikuwa mbaya zaidi imebidi tuletwe Muhimbili Hospital.amegundulika ni dengue. thanx to god anaendelea vizuri and that is the last drip.asante my manager Yahya for your greatest help.mungu akuzidishie.asanteni pia my fans kwa maombi yenu.

No comments: