Msanii Ebrahim Musa aka Roma mkali wa Hi Hop Tzee ambaye kwa sasa ana-shine na ngoma yake ya K.K.K,amemtambulisha mama watoto wake kupitia akaunti yake ya Facebook kwa kutupia picha na kuandika maneno yafuatayo “Huyu ni mama na mimi ni baba.”
Hii inaonyesha jinsi gani Wasanii wetu wanavyojali na kulinda dhamana yao ya UKIOO cha jamii.
****HONGERA SANA +Roma Tongwe
Hii inaonyesha jinsi gani Wasanii wetu wanavyojali na kulinda dhamana yao ya UKIOO cha jamii.
****HONGERA SANA +Roma Tongwe
No comments:
Post a Comment