Mbunge wa Jimbo la
Arumeru Mashariki,Mh Joshua Nassari siku ya kesho anatarajia kufunga
ndoa na mchumbawake anayejulikana kwa jina la Anande Nko katika kanisa
la Pentekoste Kilinga lililoko wilaya ya Meru baada ya mambo ya imani
Sherehe kubwa ya Harusi itakayo fanyika katika viwanja vya Usa-River
Academy jirani na Hotel ya Ngurdoto.Pichani
ni Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Meru Dr Paul Akyoo akifanya maombi kwa Mh
Joshua Nassari pamoja na mchumbawake mtarajiwa Anande Nnko
 |
Mh,Mbunge Joshua Nasari na Mkewe mtarajiwa Anande Nko. |
 |
Mh,Mbunge Joshua Nasari na mkewe mtarajiwa Anande Nko. |
No comments:
Post a Comment