Friday, 6 June 2014

VIDEO YA KEREWA"SHETTA Feat DIAMOND KUFANYIWA AFRICA YA KUSINI.


Ngoma yake Msanii Shetta akimshilikisha Diamond ijulikanayo kwa jina la KEREWA, Video yake imepangwa kufanyika nchini Africa ya kusini chini ya Director mkubwa  ambaye amefanya Video nyingi za wasanii wa Nigeria na South Africa. Kwa sasa Shetta na Diamond wako nchini South africa kwa Shughuli nzima ya Video hiyo,lakini pia Diamond ameenda nchini humo katika hitimisho la Tuzo za MTV zijulikanazo kama "MTV MAMA" ambazo zitafanyika Wikiendi hii,na DIAMOND akiwa kama mshiriki katika Tuzo hizo kutokea TANZANIA.

No comments: