Manispaa ya Kinondoni imekemea uharibifu wa mazingira
unaofanywa na baadhi ya watu wanavunja sheria kwa kufanya biashara ovyo
katika maeneo yasiyo rasmi na kwamba ili kukomesha tabia hiyo kuendelea
wamepanga kuanza msako katika maeneo mbalimbali ya manispaa hiyo.
Katika kudhihirisha ushabiki wa damu wa michuano wa
kombe la dunia linaloendelea nchini brazili,mashabiki fulani
wamelazimika kupeperusha bendera ya marekani na uingereza katika nyumba
zao maeneo ya kigogo post hali iliyovutia watu wanaopita katika maeneo
hayo kuuliza kulikoni.Source ITV

No comments:
Post a Comment