![]() |
Bob Junior & Mkewe |
Kwa sasa mkali huyo ametoa tena talaka 3 kwa mkewe Halima kutokana na tetesi zilizopo chini ya carpet kuwa ndugu wa Bob Junior wanamuona Halima aka mama Rummy hana nyota angavu kwa mumewe kitu kinachosababisha Bob Junior kufifia katika ramani ya kimuziki, BK Cop alivyozinyaka info’s alimvutia waya Bob Junior ili kuhakikisha ukweli kuhusiana na hilo,
BK: Mambo vipi Bob Junior?
BOB JUNIOR: Poa niaje man.
BK: Poa, nasikia umempiga chini mkeo?
BOB JUNIOR: Mimi nilikuambia sijawahi kurudiana naye tangu tulivyoachana mwanzo.
NB-Ingawa wawili hao wamemwagana wamebahatika kupata mtoto mmoja ‘Rummy’ mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kadhaa hadi sasa.
No comments:
Post a Comment