Thursday, 23 October 2014

KOMANDOO WA JWTZ ALIYEUA MTU AFIKISHWA MAHAKAMANI DAR

Mshitakiwa Octavian Marius-{Commando-JWTZ}


KOMANDO wa JWTZ aliyeua mtu mwishoni mwa wiki iliyopita, Octavian Maurus Gowele amefikishwa mahakama ya wilaya Temeke leo akishtakiwa kwa mauaji. Mshitakiwa amekana shitaka.Kesi yake imeahirishwa mpaka Novemba 4, 2014.
Polisi wakimrudisha rumande Commando Octavian Marius baada ya kusomewa shitaka lake,Mahakama ya Wilaya Temeke.
Wananchi waliofika Mahakamani{Temeke}


No comments: