Tuesday, 15 July 2014

BREAKING NEWS:-MOTO MKUBWA UNATEKETEZA ENEO LA MADUKA MWANANYAMALA-DAR ES SALAAM.

TAHARIFA ZA KUSIKITISHA JIJINI DAR ES SALAAM MCHANA HUU..

Moto mkubwa unateketeza baadhi ya maduka na majengo yanayozunguka eneo la hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.



Hadi sasa nyumba 3 zimeteketea kabisa kwa moto ambao bado unaendelea kuwaka kwa kasi nakutishia nyumba zingine zilizopo jirani.

***Kwa Taarifa zaidi endelea kuwa nasi tutakujuza zaidi.***

No comments: