![]() |
Picha-Diamond{Mdogomdogo video shoot} |
Diamond ameamua kuwapa nafasi watu wenye vipaji vya kucheza
au kutengeneza style za kucheza kumsaidia kupata mtindo maalum wa
kucheza wimbo wa ‘MdogoMdogo’.
Mwimbaji huyo ametoa tangazo hilo kupitia Instagram na kuweka kigezo maalum kuwa mtuma video ni lazima atoke nyumbani (Tanzania), video itakayopigiwa kura nyingi ndiyo itakayoshinda.
Mwimbaji huyo anampango wakufanya video nyingine ya MdogoMdogo itakayokuwa ya kucheza tu na ameipa jina la ‘MdogoMdogo Instructional Video’, na mshindi atahusika pia kwenye video hiyo.
Hiki ndicho alichoandika:
“Nafikiri sasa ni wakati Muafaka!..Mi shida yangu ni Moja tu, nahitaji nipate style Maalum ya kucheza #Mdogomdogo .. iwe kutoka kwa Kundi au mtu yoyote kutoka nyumbani... Ukiwa unaamini unaweza kutoa style na ikatumika kama Mdogomdogo Dance tafadhari nitumie kuanzia sasa Kwenye namba hii +255652427989 au ipost kwenye Instagram yako kisha hash tag neno #MdogoMdogoDance nami nitairepost Hapa... Mwendo ni ule ule tu, Kikundi au Mtu atakayekuwa na Likes nyingi ndio tutaichukua Style yake na kuwa Official Dance style ya #MdogoMdogo .. Pia atapata Shilingi Milioni Moja Cash! na Kuwepo kwenye Video Mpyaaa ya Kucheza tu, iitwayo #Mdogomdogo_Instructional_Video pamoja na Team Nziiima ya Wasafi.....!!!! hii nimeipata kutoka Holland kwa @petitafricanmoves Waionaje..????”

No comments:
Post a Comment