![]() |
| Ommy Dimpoz |
Kauli
ya Ommy Dimpoz aliyoitoa siku mbili zilizopita akishauri wadau
wajitokeze na kuwekeza zaidi katika kununua vifaa vya kisasa ili wasanii
wasipate sababu ya kwenda kushoot video zao nje, imewafanya madirector
nao kutoa yao ya moyoni.
Akifunguka juu ya hilo Ommy Dimpoz alisema"“Biashara
ya video ishaingia ushindani, kwahiyo kuna haja ya kuwekeza kwenye
vifaa, m i nauhakika hapa mtu ana mavifaa kibao unaenda kushoot Lushoto
huko noma, wazungu wenyewe watauliza umeshoot wapi. Tuna maeneo kibao
Zanzibar wapi wapi wapi ya kushutia, sio kwamba hatuna maeneo, maeneo
tunayo lakini hatujawa na vile vitu. Kwahiyo ndo maana hata mtu pia
unafikiria ah sijui nishoot Zanzibar, lakini unawaza kumchukua labda
GodFather au nani kumleta huku Tanzania ndio mziki.
Halafu mtu utakapoleta vifaa hivyo nauhakika hautaishia kwenye video tu, kuna matangazo, utakodi utafanyaje…Watu lazima waelewe kitu kimoja kwamba hakuna mtu anaependa kujitia gharama kama kuna uwezo wa kuepuka gharama, sio ufahari mi nina vitu vingi vya kufanya sio kwamba nataka tu nikalipe dola elfu 30 kushoot video wakati nina uwezo wa kuokoa hiyo hela labda kulipa dola elfu 15 au elfu 10.
Wadau wanatusikia sie ndio wasanii wenyewe tunasema kwamba muziki unalipa mnaona sasa hivi vijana wenu wanapata shilingi mbili tatu, hizo shilingi mbili tatu mtagawana nao vipi kuliko kwenda kuwapa watu wengine huko nje ya nchi.”

| Nisher |
Unaanzaje na kauli halafu na wakati mi nasoma kwenye Internet kwamba umelipa sijui kiasi gani gani gani kwenye video flani flani, nafikiri video ya Ben Pol juzi tu ambayo tuliifanya ‘Unanichora’ labda ndio video niliyopata hela nyingi kwa kiasi flani kwa sababu video iligharimu karibu milioni 10 hivi. Mi nadhani tunachukuliana poa na kudhariana kiukweli.
Kwa Mfano ukinilipa milioni 5 au 10, una uhakika kwamba hela hiyo hiyo itatumika kusambaza kazi yako[…] kufanya kila kitu. Vyombo vipo cranes nini, cranes zenyewe za kukodi kwa siku laki 5, camera zipo za kukodi Red Camera unaambiwa labda dola 800 kwa siku, nani atakupa hiyo hela? Hivi vitu vinakatisha tamaa wasanii hawatukubali wanatuona kama hatujui.”
![]() |
| Adam Juma |

No comments:
Post a Comment