JINA
lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa
Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35), alikuwa
akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni
ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia
katika Jiji la New York, nchini Marekani ambapo amesaini mkataba na
Kampuni ya Ford Models mpaka sasa hivi. Ana miaka minne na tayari
ameshaongezewa miaka miwili zaidi ya fani hiyo ya uanamitindo duniani.
Happiness Magese anasihi wanawake kucheki afya zao mara kwa mara wasije wakakutwa na tatizo kama lake la ugumba ambalo limeharibu kibofu chake na kupelekea hata kushindwa kukojoa kwa njia ya kawaida na badala yake kwa sasa anatumia mipira kwa ajili ya kujisaidia aja ndogo, ni vema kucheki afya mara kwa mara.anasisitiza Happiness Magese.

No comments:
Post a Comment