Wednesday, 16 July 2014

NATURE AJINASIFU KWA UJIO WAKE MPYA.

Nature akiangalia moja ya vipande vinavyoonekana kwenye video yake mpya"KOMAA"
MSANII JUMA KASSIM KIROBOTO A.K.A QIBRA TEN,KAMA ANAVYOJULIKANA KWA SASA AMEWAHAKIKISHIA MASHABIKI WAKE JUU YA UJIO WAKE MPYA KUWA UTAKUWA NI MOTO WA TIPA,HII NI BAADA YA MASHABIKI WAKE KUWA WAKIULIZIA KWA KIU KUBWA JUU YA UJIO WAKE MPYA,
NATURE AKIFUNGUKA KUPITIA UKURASA WAKE WA FACEBOOK AMEDAI SOON ATAACHIA NGOMA MPYA IKISINDIKIZWA NA KICHUPA KIPYA PIA,VYOTE VIKIWA VINASIMAMIWA CHINI YA RECORD LABEL ILIYOMUWEKA KWENYE RAMANI YA MUZIKI "BONGO RECORDS"
"Wakiongea kuhusu mimi waambie me nipo kimya natunga mistari kuhusu wao maneno kama upepo yanapita ila NATURE atabaki NATURE msikonde watu wangu narudi soon tu tena kutoka bongo records kwa MAJANI dude jipya GUSA UNASE kwaito ya Hatari nataka kuwafundisha wanaoiga ndani ya mwaka huu ngoma mbili moja Video ni KOMAAA na Audio GUSA UNASE"ALISISITIZA QIBRA.

No comments: