NDUGU WA NUH MZIWANDA WAWAKA JUU YA MAHUSIANO YA NDUGU YAO NA SHILOLE.
 |
| Shilole |
Haijakaa
poa! Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva,
Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo,
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko
ndugu yao.
Wakizungumza na Ijumaa
Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina
yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao,
Mziwanda kwani hawaendani.
“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi
lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na Shilole,ambaye
hawaendani kiumri,” alidai mmoja wa ndugu hao.
 |
| Shilole na Nuh Mziwanda |
Alipotafutwa Shilole ili kufikishiwa ujumbe wa ndugu hao kwamba hawamtaki, simu yake ya kiganjani iliita bila kupokelewa.
Source-Bieber 5
No comments:
Post a Comment