Wednesday, 23 July 2014

OMMY DIMPOZ AINGILIA BIFU YA DIAMOND NA ALI KIBA.

Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aongee na Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo yanaonekana ni Jibu lake kwa Ali Kiba, Mchana huu tena Ommy dimpoz amepost Picha hizo apo chini akiashiria kuingila Ugomvi ama Bifu linaloendelea kati ya mahasimu hawa wawili,. Sasa swali ni je Ugomvi huu Ommy unamhusu vipi au ndio kuchochea ugomvi badala ya Kuhusuluisha... Wacha Movie Iendeleeeee 
***Hii hapa POST ya Ommy Dimpoz aliyopost Mtandaoni Instagram,
***PICHA iliyotumiwa na OMMY DIMPOZ kwenye Post hiyo ni hii hapa,


 

No comments: