Monday, 21 July 2014

PICHA ZA AWALI-VIUNGO VILIVYOKAMATWA LEO MAENEO YA BUNJU.

baadhi ya viungo vilivyokamatwa.

picha ikionyesha miguu ya binadam


Fuvu la mtu likiwa kati ya viungo vilivyokamatwa

Wakazi wa jiji la Dar es salaam hususan Bunju & Boko wakiwa wamekusanyika kushuhudia tukio hilo


gari lililobeba Viungo hivyo.
Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili itatolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.

No comments: