Tuesday, 22 July 2014

BRAND NEW SONG BY AFANDE SELE-MIAKA KUMI{VERSION II & III}

KATIKA KUMBUKUMBU YA MIAKA KUMI TOKA AIANZE FANI YA MUZIKI,MSANII AFANDE SELE TOKA MOROGORO,MJI KASORO BAHARI,AMEACHIA SINGO YAKE MPYA ALIYOIPA JINA"MIAKA KUMI",TAKRIBAN MWEZI SASA BAADA YA KUACHIA SINGO HIYO IKIWA KWENYE ORIGINAL VERSION,HIZI HAPA{VERSION II & III} ZILIZOFUATA BAADA YA KUACHIA ORIGINAL VERSION YA SINGO HIYO {VERSION ZOTE ZIMEFANYWA NDANI YA STUDIO ZA WEETU RECS-MORO,CHINI YA PRODUCER CADDY},ZISIKILIZE ZOTE KWA PAMOJA HAPO CHINI, ***VERSIO-II
***VERSION-III

No comments: