Friday, 11 July 2014

Professa Jay atoa Mualiko maalum kwa mashabiki wake kushiriki video yake ya 'Kipi Sijasikia' Feat Diamond.

Professa Jay
Professa Jay amepanga kuifanya video hit yake ya Kipi Sijasikia aliyomshirikisha Diamond Platinumz, Jumamosi hii (July 12,2014) na hataki kumuweka mbali shabiki anaependa kazi yake.
Professa ametoa mualiko maalum kwa shabiki wake anaependa kushiriki katika video hiyo kupitia kadi maalum aliyoiweka Instagram.
“Kings and QUEENS wote mnakaribishwa kwenye video shooting ya KIPI SIJASIKIA
 MUHIMU; Vigezo na masharti kuzingatiwa!!!” Ameandika Profesa Jay kwenye Post yake.

No comments: