Tuesday, 15 July 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WASANII KUTOKA MAREKANI

Rais J.M.Kikwete akiongea na baadhi ya wasanii nyota wa Filamu na Muziki toka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania,Wasanii hao ni Terrence J ,Jenkins,Mwendeshaji kipindi cha Muziki katika Television ya E ENTERTAINMENT{wa pili kulia}Chaka Zulu,Mtendaji wa Shughuli za Muziki katoka Kampuni ya Disturbin Tha Peace Records{wa pili kushoto}na David Banner muigizaji,mwanamuziki na mtunzi Maarufu aliyepata kushinda mpaka tuzo maarufu ya Grammy.


Rais J.M.Kikwete akibadilishana mawazo na wasanii nyota wa filamu na muziki toka nchini marekani walioko nchini kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania.


Mh,Rais J.M.Kikwete akitumia simu yake ya mkononi kuwaonyesha vivutio vya kitalii vilivyoko nchini wasanii toka marekani waliomtembelea ikulu jana.
Picha zote na Ikulu.

No comments: