| Vicent Kigosi"Ray" & Chuchu Hans |
Mzee huyo alifariki katika Hospitali ya Muhimbili kutokana na matatizo ya presha na figo yaliyokuwa yakimsumbua na kuzikwa katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar ambapo wasanii mbalimbali wa filamu nchini walishiriki akiwemo Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete.
Alipoulizwa Ray kwa nini hakuhudhuria mazishi hayo, alisema:
“Ukweli ni kwamba mimi sipo Dar. Ndiyo maana sijaonekana huko kwenye mazishi, nipo Mwanza katika shughuli zangu za kikazi, tuko pamoja lakini,” alisema Ray ingawa wachungzi wa mambo wanasema kuwa alikuwepo mjini ila ni kutokana na sababu binafsi zao kati yake na Johari ndo maana hakutaka kwenda huku chuchu hans akidaiwa kuhusika.
Awali Ray na Johari walikuwa wapenzi,Uchumba uliodumu kwa muda mrefu kupelekea wawili kuwa karibu zaidi mpaka kuweza kufungua kampuni ya Filamu waliyoipa jina la RJ yaani RAY & JAOHARI,
Kwa sasa mahusiano ya kimapenzi kwa wawili hao hayapo tena,kwa maana ya kuvunjika na tayari Vicent Kigosi "Ray"ameshatangaza kumuoa muigizaji mwingine ajulikanaye kwa jina la Chuchu Hans,ambaye ndiye chanzo kinachodaiwa kumzuia kutohudhuria mazishi ya baba wa Ex girlfriend wake wa zamani{Johari}.
No comments:
Post a Comment