Tuesday, 22 July 2014

RAY C AENDELEA NA KAMPENI YAKE YA KUWAOKOA MATEJA{WAVUTA UNGA}

Tiba ya Methadone kwa hisani ya Ray C yamuokoa Video Queen wa Ice Cream, Doreen

Ray C Foundation wameanza kuyaona matunda ya kazi yao ya kuwasaidia watu walioathirika na matumizi ya dawa za kulevya baada ya kumtibu video Queen wa Ice Cream ya Noorah, Doreen kwa kutumia Methadone.
Ray C amepost instagram  picha ya Doreen akionekana kuwa na afya nzuri tofauti na awali walipomchukua, na kuandika ujumbe kuhusu hali ilivyo.
PICHA-Ray C akiwa na DOREEN kabla ya kutumia Methadone.
 “Video queen aliyecheza kwenye video ya Noorah "Ice cream" Amerudi katika Hali yake ya kawaida baada ya kuanza Tiba ya Methadone......Nafurahi sana nikiona matunda ya Ray C Foundation..............Keep it up girl!!!Nafurahi kukuona ukiwa na afya njema!!!!!!!Say No to Drugs!”aliandika Ray C kupitia mtandao wa Instagram.

 

No comments: