Mbunge
wa Chalinze, mkoa wa Pwani, Mtoto wa Rais, Ridhiwani Kikwete{Mbunge}, akijaribu
kimoja kati ya vitanda 267, kabla ya kuvigawa kwa shule saba za jimboni
Chalinze, katika hafla iliyofanyika jana, kwenye shule ya Sekondari
Lugoba jimboni humo.
Shule zilizopewa vitanda hivyo vikiwa na magodoro yake, idadi ya vitanda ilivyopata ikiwa kwenye mabano ni; Chalinze (50), Moreto (50), Mandera (25), Talawanda (24), Kiwangawa (50), Lugoba (38) na Kikaro (30). Kwa mujibu wa Ridhiwani mgawo huo ni wa awamu ya kwanza.

Bw,Abdalla Sakasa wa Lugoba- akikabidhiwa vitanda vitanda 38 |
Bw,Justin Nguma wa Moreto vitanda 50 |
Wadau wakimsikiliza Mh,Ridhiwani Kikwete. |
Bw,Omari Msami wa Kikaro-vitanda 30 |
Bw,Rose Umila wa Mandera Girls vitanda 25 |
Bw,Saidi Ally wa Kiwangwa akipongezwa na wadau baada ya kupata vitanda 50. |
Mh,Ridhiwani Kikwete{Mbunge}akifurahi na wanafunzi wa shule ya Talawanda baada ya kukabidhi vitanda kwa mwalimu wa shule hiyo (kulia) |
Bw,Charles Mussa wa Talawanda- vitanda 24 |
No comments:
Post a Comment