Monday, 7 July 2014

S.S.BAKHRESA AZINDUA MSIKITI WA KISASA KAMA SADAKA YAKE KWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.

Rais mstaafu wa awamu ya pili ALLY HASAN MWINYI akikata utepe kufungua msikiti wa MASJID HUDA uliojengwa na SAID SALIM BAKHRESA msikiti ambao ni mkubwa sana hapa jijini Dar es salaam wenye uwezo wa kuingia waumini zaidi ya mianane,msikiti ambao upo maeneo ya chamanzi kando kabisa ya uwanja wa mpira wa azam complex mabagala jijini Dar es salaam

HUU NDIO MSIKITI MKUBWA ALIOJENGA SALIM BAKHRESA JIJINI DAR ,WAZINDULIWA LEO NA MZEE MWINYI,BILAL NA KINANA NA MAMA SALMA WAHUDHURIA,PICHA ZOTE ZIKO HAPA

Muonekano kwa nje.

 


Waislam mbalimbali ambao wamejitokeza leo katika msikiti huo leo jijini dar es salaamkushughudia uzinduzi huo wa msikiti wa kihistoria jijini Dar es salaam

Makamu wa rais wa tanzania MOHAMED GHARIB BILAL bilal alihudhiria swala ya uzinduzi wa msikiti huo ,hapa akisalimiana na waumini wengine waliokusanyika hapo


BAKHRESA akiagana na mzee MWINYI baada ya kukamilika kwa uzinduzi huo



Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM naye pia alikuwepo katika uzinduzi huo hapa akiwa na mgeni rasmi mzee mwinyi,pamoja nja mmiliki wa msikiti huo mzee BAKHRESA nje ya msikiti huo baada ya swala ya ijumaa

No comments: