Wednesday, 9 July 2014

WATANZANIA WATOA MAONI YAO JUU YA KUTOLEWA KWA SARAFU YA 500/=TSh.

Default Re: Haya sasa, sarafu yetu ya MIA TANO hii hapa!

*Thamani ya pesa tanzania inazidi kuporomoka sii muda mrefubBOT watatoa sarafu ya sh 10000,
* Mifuko itakuwa mizito balaa, noti zinapungua kwenye wallet tunabebeshwa mavyuma kilazima.

Ukiwa na hizo 10 si sawa na muuza chenji??

Ulimwengu wa noti huu sio hayo mabati.
*Aliyetoa wazo hili ni nani?

Kumbe inawezekana watu wanajadili uchumi wa nchi huku wakiwa bar wanavuta balimi na kunywa sigara!
* Mwaka kesho Noti ya 1000 itakuwa tayari..
* Unajua watu hawatambui kua value ya currency haipunguzi uzito wa maisha magumu... Sarafu yetu haina tofauti sana na WON ya south korea, lakini ile ni moja ya nchi tajiri duniani... au Japan ambaye anashindwa value hata na Kenya basi angekua pazuri mno... i think we have more things to care about na sio kukaa tunalilia currency daily
* Sababu walioitoa BOT ni kuwa 500 ya noti ambayo inatengenezwa na pamba huchakaa kwa haraka sana Ndio maana wanaleta sarafu sasa.
NB-HAYO NI BAADHI YA MAONI YA WATANZANIA JUU YA SARAFU HII YA 500/=Tsh,NA WEWE TOA MAONI YAKO KUPITIA UKURASA WETU WA FACEBOOK https://www.facebook.com/Ngessakinollo

No comments: