Monday, 21 July 2014

Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

Aliyekuwa katibu mkuu wa CCM .Mzee Yusuph Makamba.

  amemtaka askofu Mokiwa amuombee mwanae January aote nywele kwa maana Mokiwa alitoa tamko kuwa hawatakuwa tayari kuongozwa na wanyoa unga.
Katika hali ya kukasirishwa na kitendo hicho cha kauli ya askofu mokiwa ; kusema nchi haitaongozwa na wanyoa unga (watu wenye vipara); mzazi wa januari makamba kwa kutumia tafsida , ya kuwa kipara si ugonjwa au kilema na kama askofu akaona ni ugonjwa au kilema . Amfanyie maombi januari ili nywele ziote .

No comments: