Monday, 18 August 2014

JAJI LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA...

Marehemu Jaji Lewis Makame.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Lewis Makame amefariki Dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki - Dar

- Alikuwa amelazwa hapo tangu mwezi Julai, 2014 (mwezi uliopita)

Mwenyeki wa CCM Bw,J.M.KIKWETE alipokwenda kumjulia hali jaji makame.

No comments: