Monday, 4 August 2014

Mapaparazi wanasa picha za Justin Bieber akiwa mapenzini na msichana mpya


Pop star Justin Bieber aliyeungana na Kanye West,Kim Kardashian,P.Diddy na mastaa wengine kwenye mapumziko kwenye visiwa vya Ibiza. Baada ya party ya pamoja kuisha kila mtu aliendelea na party kivyake na Justin Bieber alionekana aki-enjoy muda wake na mshichana asiyejulikana. Mikao yao na ukaribu wao kutokana na picha zilizopigwa wakiwa kwenye luxury yacht zinaonyesha kabisa wapo kwenye mapenzi. Wawili hao walitumia muda huo kukaa pamoja,kissing,kunywa na vitu vingine vizuri. Mapaparazi hawakuwaacha baada ya kuwapiga picha usiku huo na hadi asubui walipata picha zao wakiwa bado wapo pamoja. Tetesi zinasema kwamba msichana huyo anaweza kuwa ni girlfriend mpya wa Justin Bieber.

No comments: