Msanii Ambwene Yesaya"AY"-{TZ} amepata nafasi ya kuingia ikulu ya Marekani kupitia mualiko maalum
wa rais Obama kwa wasanii wa Afrika ambao walikuwa katika Operesheni ya One Campaign
yenye lengo la kuhamasisha kilimo Afrika.
AY ameungana na wasanii wengine wa Afrika akiwemo Femi Kuti, D’Banj, Fally Ipupa, Victoria Kimani na Owamuni.
Waimbaji hao kwa pamoja wanaungana na mchezaji wa Manchester City, Yaya Toure jijini Washington D.C, kwenye mkutano ambao umeanza August 4 na utakamilika August 7.
Kikao hicho kitahudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu wa serikali ya Marekani pamoja na wajumbe wa Young African Leaders Initiative (YALI).
Angalia picha zaidi:
A.Y tayari ameshafika Marekani na wameanza kwa kukutana na Wafanyakazi wa ofisi ya Rais Barack Obama ambapo msafara huo wa wasanii wa Afrika umepata nafasi ya kuzunguka sehemu mbalimbali ndani ya White House ikiwemo ofisi ya Obama inayoitwa Oval. Huu msafara wa wasanii kutoka Africa unajumuisha Femi Kuti, D Banj wa Nigeria, Victoria Kimani wa Kenya, Buffalo Soldier wa Zimbabwe na A.Y ambapo kesho wanatarajia kukutana na Rais Barack Obama.
alichokutana nacho kwenye Ikulu hii ni kwamba jamaa wanakwenda na dress code kutokana na siku, yani imepangwa kuna mavazi ya kuvaa kutokana na siku… kwa weekend ambayo Ay na wenzake waliitembelea Ikulu mtu yeyote haruhusiwi kuvaa suti hivyo utawakuta Wafanyakazi wengine na kaptula au jeans.
Hata kina Ay wakati wanajiandaa kwenda Ikulu waliambiwa wasivae suti maana ni weekend.
Ay anasema kingine ni kwamba Obama kila wiki anatenga siku ya kukutana na Watoto kutoka sehemu mbalimbali wanaotembelea Ikulu.

No comments:
Post a Comment