Tuesday, 12 August 2014

NYEPESI NYEPESI-MSANII BONGO MOVIE NDIYE MOJA YA SABABU ZA KUMWAGWA KOCHA WA SIMBA S.C

kocha Zdravko Logarusic{Fulana Nyeusi} akitoka ndani ya mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.

Mmoja wa wasanii maarufu wa tasnia ya filamu ambaye jina lake lina fanana na moja ya sofa maarufu Duniani ametajwa kuwa ni chanzo cha kufukuzwa kwa kocha wa simba Zdravko Logarusic mara baada ya kumfungia mpaka saa saba za usiku mara baada ya kumalizika kwa mechi ya simba day. Msanii huyo ambaye alishatajwa mara kwa mara katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa na mahusiano na loga na ni mmoja kati ya wasanii wajane ambao wapo katika tasnia ya filamu hapa nchini,taarifa zinadai kuwa bidada huyo ameweza kumduwaza kocha huyo kiasi cha kusahau majukumu yake.na atimaye kusababisha kumwagwa na wana Msimbazi{Simba S.C}.
PICHA-Rais wa Simba Bw,Evance Aveva akiongea na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam juu ya suala la kusimamishwa kazi kocha huyo zdravko Logarosic...


No comments: