Tuesday, 12 August 2014

NDOA YA JIDE NA GADNER YADAIWA KUVUNJIKA...

Lady Jay Dee & Gadner.G.Habash

Ndoa ya mwananuziki maarufu nchini Lady Jay dee"Anaconda" na mtangazaji mashuhuri wa radio "Times Fm" ya jijini Dar es salaam  Gardner G. Habash inasemekana kuvunjika rasmi huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa mmoja wa ndugu zake wa karibu sana. chanzo cha kuvunjika kwa ndoa hiyo bado hakijajulikana moja kwa moja,taarifa zinadai wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda sasa.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si shwari. yazidi kusemekana kuwa kaka Gardner ndiye sababu kubwa kwani amekuwa akilalamikiwa na mkewe kwakuzidisha michepuko kwani inadaiwa amekua haibi tena bali anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa

No comments: