Tuesday, 19 August 2014

PICHA-DAVIDO NA NISH KARDS WARUDIANA.

Nish Kards

Picha: Davido arudiana na 'Kim K wa Afrika', ashare picha zao na ujumbe mtamu 

Nish Kards

 

Mwanamitindo wa Ghana anayetajwa kama Kim Kardashian wa Afrika kutokana na mambo yake, Nish Kards aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Davido, ameongea kupitia picha alizopost Instagram kuwa yeye na Davido ni wapenzi tena. Mrembo huyo ambaye alikuwa na muda mrefu hajapost picha inayohusu uhusiano huo, ameshare picha inayomuonyesha Davido akimbusu, na nyingine wakiwa wameshikana mikono wakitembea na kuandika kuwa yeye ndiye dawa yake inayomtuliza maumivu. Ujumbe mwingine unamtaja Davido kama ‘Master Key yake’.
Nish Kards.

No comments: