Wednesday, 6 August 2014

"UMBEA WA MJINI"-LULU AMCHOMOLEA DIAMOND,

Lulu
Msanii wa filamu bongo,na mwenye jina kubwa kuliko umri wake,Elizabeth Michael aka LULU,
ameonesha msimamo mkali baada ya msanii
wa bongo fleva mwenye jina la madini
expensive Naseeb Mohamed au DIAMOND
kufanya kila aina ya mbinu ikiwemo ile ya
kutaka kumuagizia msanii huyo gari
expensive aina ya nissan murrano yenye
thamani ya shiling million zaidi ya
60,

Diamond


ambapo hata hivyo mbinu yake iyo
imeonekana kugonga mwamba baaada ya
Lulu kukataa kata kata kutoka na staa huyo
anayetamba na ngoma ya my number one.
Kwa kumaanisha kuwa hataki kutoka na staa
huyo, Lulu alilazimika kubadilisha namba
ya simu yake ya mkononi ili kuepuka
usumbufu kutoka kwa bwana mdogo huyo
ambaye kila kukicha amekuwa akiwindwa na
wasichana warembo ili tu waonje sukari
yake.
Pia inasemekana lengo la diamond kutaka
kutoka na Lulu ni kutaka kukuza jina lake
(kiki) kwa kuwa anaamini staa huyo ana jina
kubwa na lenye mvuto hivyo kumfanya na
yeye aogelee kwenye dimbwi la umaarufu
na kuongelewa zaidi na watu,na kuwa ishu
iyo ndo itakuwa habari ya mujini yaan yeye
kutoka na
Baadhi ya watu wameonyesha kushangzwa
sana na msimamo mkali wa binti huyo,kwa
kuwa waliamini hakuna staa yeyote bongo
mwenye ubavu wa kupindua kwa
diamond,kama ilivyokuwa kwa
Wema,Jokate,Aunt,Wolper na baadhi ya
mastaa ambao dogo huyo aliwamega
kiulaini.

Watu wanahaha kumjua mwanaume
anayempa jeuri Lulu hadi kufikia hatua ya
kuchomoa kwa diamond..

No comments: