Friday, 15 August 2014

Video: Kanye na Kim waonesha mahaba mazito ndani ya lift, ni muongozo kwa Jay Z na Beyonce?


Neno ‘elevator’ au lift liliandikwa sana baada ya Jay Z kupigwa vibao na Solange kisa kutaka kufanya michepuko na kushindwa kumuonyesha Beyonce mapenzi ya dhati. Hii imekuwa tofauti kwa Kanye West na Kim Kardashian ambao waliamua kuonyeshana mahaba ndani ya lift na hawakusubiri tendo lao hilo kuvujishwa kupitia video kama ugonvi wa wenzao, wao wamejipiga selfie na kupost mapema. Huu ni kama muongozo kwa mr&Mrs. Carter kuwa ile ingeweza kuwa sehemu ya kuonyesha mapenzi na sio kupigana.
Iangalie VIDEO hapo chini,

No comments: