WASANII WALIOKUWEPO KWENYE KILI MUSIC TOUR WAFIKA KUMPA POLE AFANDE SELE KWA KUFIWA NA MKEWE.
Wasanii walioshiriki katika tamasha la Kili Music Tour Dodoma,
jana walifunga safari hadi Morogoro na kwenda kumfariji msanii mwenzao
Afande Sele aliyefiwa na aliyekuwa mkewe Asha (Mama Tunda). Huzuni kubwa
ilitawala ila alifarijika sana kwa tukio hilo la faraja toka kwa
wasanii wenzake.
No comments:
Post a Comment