![]() |
PICHA-Marehemu Afande John,muda mfupi baada ya Ajali. |
Suzy Baltazary
"Huyu anaitwa Afande John kapata ajali mbaya mpaka kufariki dunia maeneo ya kisarawe,Afande huyo alikuwepo pale myfair TRA upande wa leseni za magari (Driving licence) pole kwa jeshi la polisi pia na familia yake.....
Mwenyezi mungu ailaze roho yake pema peponi Amen. Kwakweli alikuwa ni kipenzi cha wengi."
Source-S.Baltazary.
1 comment:
oh maskini Mungu amrehemu
Post a Comment