Sunday, 21 September 2014

ATIMAYE PETIT MAN AFUNGA NDOA NA DADA YAKE DIAMOND...


Habari mpya ya mujini kwa sasa,ndoa ya Dada wa Diamond Esma Khan na mpambe wa Wema petit man wakuache ,ambapo uhusiano wao ulianza kama utani hatimae umezalisha kile ambacho wengi hawakukitgemea kama kingekuwa mapema hivi... "Tunawatakia maisha mema ya ndoa na baraka tele"



No comments: