Thursday, 25 September 2014

Big Brother Africa 2014: Watoa Picha nzuri za washiriki 6 waliotajwa hivi karibuni akiwemo Mtanzania

Irene Laveda-Tanzania.

Mashabiki wa shindano la Big Brother Africa wanaoisubiria kwa hamu msimu mpya utakaoanza mwezi ujao uliopewa jina la ‘Hot Shots’. Hivi karibuni wametajwa washiriki wengine sita wanaoziwakilisha nchi zao. Kutoka Tanzania mrembo Irene Laveda ambaye ana kipaji cha kuigiza anaungana na Idris ambaye ni mpiga picha kuiwakilisha nchi yetu katika jengo hilo. Angalia picha za washiriki hao sita waliotajwa hivi karibuni.
M'am Bea-{Ghana}
Luis-{Namibia}
Kacee Moore{Ghana}
Lilian{Nigeria}
JJ-{Zimbabwe}

No comments: