Monday, 22 September 2014

VIDEO-Victoria Kimani na Mr Flavour #CokeStudio


Victoria Kimani kutoka Kenya na Mr Flavour kutoka Nigeria walitumbuiza kwenye Jukwaa la Coke Studio Africa msimu wa pili unaofanyika Nairobi, Kenya na kufanya fusion ya wimbo wa Mr Flavour ‘Ada Ada’. Coke Studio Africa inawakutanisha wasanii wa Afrika Mashariki, Magharibi na Afrika ya Kati na kuwapa nafasi ya kuimba LIVE nyimbo zao kwa kushirikiana. Kutoka Tanzania wapo wasanii kama Joh Makini, Vannessa Mdee, Shaa na Diamond wamefanya collabo na wasanii wengine wakubwa.
 

No comments: