Wednesday, 22 October 2014

DIAMOND ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KUFUATIA SAKATA LA KUTUMIA SARE ZA JESHI KWENYE SHOW YA FIESTA

Msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond anashikiliwa na Polisi

MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki.
 Habari zaidi zitafuata.

No comments: